Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hii brand mwanzo sikujua ila nilisikia tu nilivyoenda Nairobi nikakuta infinix ndio zimebamba Kenya kuliko huku kwetu na yangu nilikuta imebaki moja tu redmi 4x Dahhh nikaichek spec zake na bei ilikuwa 370k kwa bei ya kwetu tz nikachukua nimekuja ipenda na nitaipenda saana sababu ni tofauti na Tecno itel samsung HTC. ambazo nimewahi kuzitumia sisemi samsung ni Mbaya Hapana [emoji19][emoji19] ila vitu ilivyonavyo xiaom sikuwahi kuviona kwanza betri ya mah 4100 haijawahi kupunguza ubora wake. Camera ya mp 13 iko safi kuliko mp 16 za tecno [emoji2297][emoji2297][emoji2297] Duall app yaani kila app unaweza kuweka zikawa double, Fingerprint ya ukweli kabisa inayofanya kazi bila kustak app lock, kikubwa tena ni second space hii simu ya pili ndani ya simu moja. Water proof nimetumbukiza sana kwenye maji lakini chombo bado kipo imara. NAIPENDA SANA XIAOMI KWANGU NDIO BORA
 
Siwezi juta miliki Redmi note 4x yangu... Najichanga hapa nivute Redmi note 6 pro..
[emoji4] [emoji4]
 
hiyo battery inapatkana kariakoo kwenye duka la mmama mmoja hivi
 
Bora uagizie kwa mchina uta save pakubwa. Hapa Bongo accessories za MI ni hela ndefu mno.
 
Sasa si umuelekeze kariakoo kubwa mkuu
Bro inakua ngumu kumuelekeza kwa hapa ila no yangu hii 0714192765 anaweza kunchek kama bado hajapata au mtu yeyote atakaehtaji nmuelekeze anchek pia...ila ni mitaa ya agrey pale ndo lipo hilo duka la hiyo mmama ana battery nyingi tu za xiaomi brand tofauti tofauti hiyo ya Mi note lte pia nishanunuaga pale kwake na nyingine ya Mi 2s pia
 
Bora uagizie kwa mchina uta save pakubwa. Hapa Bongo accessories za MI ni hela ndefu mno.
View attachment 906143
Bro battery nyingi zinazouzwa online kwa bei ndogo ni fake nauzoefu nazo nshanunua zitamsumbua simshauri anunue hko...kwa ushauri angejchanga tu akanunue battery hapo kkoo ni original na ikikusumbua unarudsha kwa hyo mmama hana shida anakupa nyngn lakin ndo hvo bei zake hapunguzi ata kidgo
 
Yah ni Kweli usemayo vitu vingi vya bei ndogo vina ubora hafifu. Lakini kwa upande wangu kabla ya kununua bidhaa napitia reviews, hii inasaidia kujua ubora wa bidhaa. Kuna hii moja nimeagiza kwa $15, Na ina warranty ya 6 months ikizingua nawarudishia.
 
Acha kupotosha ndugu UMEWAI KUTUMIA Google pixels? Meizu je? OPPO? Hiyo MI, Huawei na MEIZU zimewai kushindanishwa MEIZU ikawa ndo BABA LAO acha kupotosha kisa ulikuwa unatumia TECNO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…