Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

yea ni vizuri kupitia reviews pia...sema procedure zakuwarudishia naona ni usumbufu alf inachukua mda kwahyo ni vizuri kuptia reviews tu kabla hujaplace order
 
Ni simu nzuri sana watu hawajui tu. Mimi niliagiza Beijing 2014, bado chuma kabisa. Niliweka protector kutunza screen ikagoma kufanya kazi ikasema remove protector. Kioo kama kilivyotka dukani mpaka leo. Hakuna mkwaruzo hata kidogo!
Muwekaji wa protector hakuzingatia SENSOR
 
sio kweli Meizu simu zakawaida sana huwezi fananisha na xiaomi bora ungelingansha ata na one plus
MI nimetumia Meizu nimetumia kama moja ya hizo haujawai kutumia jaribu utaelewa namaanisha nini Kwa mala ya Kwanza niliagiza MI toka South Afrika kuja kishituka kumbe ya kawaida baadae nikaagiza Meizu M2NOTE, nikaitumia mpaka nikaichoka Baadae MEIZU Mx hii ni balaa
 
nshatumia Meizu ndo maana nakwambia hvo nlkua na Meizu mx5 ambayo n kubwa kulko hyo m2note...sio simu mbaya ni nzuri lakn sio level hyo ya xiaomi...xiaomi gani ulkua unatumia ww ambayo unasema ni yakwaida?
 
Anauzaje mkuu???
 
Mimi nazisaka hizo bila mafanikio!!
Hiyo link ukiingia Utakutana na hii kitu:- "This product can't be shipped to the selected Country"
Na kule Banggood au eBay wanaiuza Bei ya kuruka
Linganisha kodi ya mwl na bei za ebay na Wengineo. Na kama mpo wengi munaweza kushare shipping cost
 
Angalia kwa wauzaji wengine hapo hapo aliexpress
Mimi nazisaka hizo bila mafanikio!!
Hiyo link ukiingia Utakutana na hii kitu:- "This product can't be shipped to the selected Country"
Na kule Banggood au eBay wanaiuza Bei ya kuruka
 
Sawasawa, usijaribu kutoka huko ukaamia samsung, hakika hautatamani simu.
 
Jina la hiyo betri nimebaki kucheka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…