Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Utakesha!!Angalia kwa wauzaji wengine hapo hapo aliexpress
100% tested LCD display for Xiaomi Redmi 4A 5.0 inch Touch Screen for Xiaomi Redmi 4A Pro Global Digitizer Frame with Free ToolsMsaada napataje touch ya redmi 4a nyeupe?
Ilq haitumii earphone jack 3.5 bossXiaomi mi A2 naipata kwa sh ngapi?yenye 64gb
Bora mi a2 liteXiaomi mi A2 naipata kwa sh ngapi?yenye 64gb
Shida Ni plastic body siyo aluminiumBora mi a2 lite
Sd 450 ni nzuri kushinda sd430, na pia ni 14nm. Ushauri wangu tafuta simu ya sd450 kama hio redmi 5.Hivi wakuu kulingana na kukosa simu ya bajeti ya 285k kwa xiaomi aliexpress nimeona huawei honor 7a ya 2g ram,32gb rom na soc ya snapdragon 430 mnaizungumziaje kwa bei hiyo au mnaweza toa option kwa simu gani kwa bei hiyo?
Chief-Mkwawa msauziy
Naomba website mkuu nicheck hizo za kenya na je malipo yanakuwa vipi na usafiri na je hamna wapigaji huko?.AhsantehSd 450 ni nzuri kushinda sd430, na pia ni 14nm. Ushauri wangu tafuta simu ya sd450 kama hio redmi 5.
Redmi 5 zipo kenya pia around 288,000 za kitanzania.
Used or New? Gb ngapi? Ram Ngapi?Anyonr looking for Redmi Note 5 pro ? 650,000/-