Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Sasa si uagize mwenyew mkuu...ukiagiziwa kila mtu atakupa bei atayopenda yeye..
 
Hivi mfano sina box office na nataka agiza simu mwenyewe hii simu itafikia wpi na je kuna mwenye uzoefu na hili la bila kutumia box office.Ahsanteh
 
Mpaka utumie forwarding service kama mwl rct ndio utaweza ship toka india.

Na site za kenya ni kama avechi.com na jumia.co.ke. wadau wanasema Avechi wanaship mpaka huku kwetu, ila ni vyema ukamuagizia mtu alie kenya anunue kule na kukutumia.
 
Hivi mfano sina box office na nataka agiza simu mwenyewe hii simu itafikia wpi na je kuna mwenye uzoefu na hili la bila kutumia box office.Ahsanteh
Posta kuna sehemu ya kupokelea kama huna box, wanakupigia simu ukachukue, ila usirisk kwa kitu cha gharama kama simu.
 
Mpaka utumie forwarding service kama mwl rct ndio utaweza ship toka india.

Na site za kenya ni kama avechi.com na jumia.co.ke. wadau wanasema Avechi wanaship mpaka huku kwetu, ila ni vyema ukamuagizia mtu alie kenya anunue kule na kukutumia.
Avechi hawana stock ya kutosha nimetafuta hakuna.
 
Chief-Mkwawa
Mkuu unless unapenda hizi trend sijui notch na hizi fashion za kisasa otherwise Redmi note 5 ni nzuri kununua kuliko redmi note 6. Zinafanana specs nyingi na redmi note 5 utaipata bei rahisi zaidi around laki 4.

Kwa kenya ni kama ksh 17500 ambayo ni kama 394,000 ya Kitanzania kama una mtu unamjua muagizishie.
 
Asante Mkuu.Mimi ni mpenzi wa simu zenye big screen .

Ningeenda kwenye Mi max 3 ila wanasema ghari Sana around laki 6.
 
hizi simu pale ARUSHA
Hivi mfano sina box office na nataka agiza simu mwenyewe hii simu itafikia wpi na je kuna mwenye uzoefu na hili la bila kutumia box office.Ahsanteh
hizi simu pale Arusha AIM mall kwa benson latest zote anakuwa nazo. kama mi max 3 niliona pale ya july 2018
 
Asante Mkuu.Mimi ni mpenzi wa simu zenye big screen .

Ningeenda kwenye Mi max 3 ila wanasema ghari Sana around laki 6.
Hata redmi note 5 pro ni kioo kikubwa mkuu. 5.99inch ambayo ni inchi 6 tena hiyo. Sema kutokana na bezell ndogo simu inaonekana ndogo japo ina kioo kikubwa.
 
nahitaji earphone za xiaomi mwenye nazo naomba tuwasiliane kwa namba hii 0677991687 .Ofa yangu elfu 15K usafiri juu yangu
Tafuta 20k agizia aliexpress, hapa bongo kupata kwa hiyo budget yako labda xiaomi fake
 
Attachments

  • IMAG0449.jpeg
    24.1 KB · Views: 52
Kama unapenda earphone kuna nzur tu za kz za budget nzur na high quality in sound.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…