Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Naombeni msaada.. natumia simu ya OPPO ila tatizo haina google play store wala google play service.. ..nisaidieni namna ya kuzipata..
 
Naombeni msaada.. natumia simu ya OPPO ila tatizo haina google play store wala google play service.. ..nisaidieni namna ya kuzipata..
Inakuja na store ya kichina? Jaribu kuisearch humo ndani mara nyingi huwa wanaweka.
 
Wanadai simu haisapoti google play service.. hivyo vitu vyote vua google... ikiwemo play store havikubali... nifanyeje?
 
Mkuu jaribu kuifactory reset kwa kueka hio line inayokubali kisha kuingia setting nafkiri option ya mwisho ya kwenye setting ni ya kureset.
Nme try,nkaweka 12345,0000,1234,00000000,1234567890zte zmegoma
 
Boss kwahiyo code umezisahau au simu ni ya mtu mwingine, tuanzie hapo.
Nliuziwa nairobi huko mda sana, siku zte ilkua na simcard moja tu na hadi sasa nkweka io simcard haidai password,nkibadil tu nkiweka nyingine inadai
 
Hahahah... be serious... ntajie simu yoyote uliyotumia ambayo imetengenezwa kuanzia mwaka 2017 na kuendelea.... mpaka useme xiaomi na iphone ndo kiboko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nliuziwa nairobi huko mda sana, siku zte ilkua na simcard moja tu na hadi sasa nkweka io simcard haidai password,nkibadil tu nkiweka nyingine inadai
Hapo option ni kubaki na hiyo line inayokubali au uflash simu.
 
Nme try,nkaweka 12345,0000,1234,00000000,1234567890zte zmegoma
Weka hiyo simcard ambayo haisumbui..then kaweke off pin code request..ipo kweny setting,security then angalia pin code request..weka off

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…