Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Hapo kwenye Note 6Pro ya 64Gb hadi Jasho....J
Jamaa wako fair sana hata kwa hizi bei zao ziko fair mkuu
*XIAOMI WHOLESALE*
*REDMI S2 4+64GB*
BLUE GREY PINK
Tsh 550,000
*REDMI 6A 2+16GB*
BLACK BLUE GOLD
Tsh 390,000
*REDMI 6A 2+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 420,000
*REDMI 6 3+64GB*
BLACK BLUE
Tsh 500,000
*REDMI NOTE 5 3+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 550,000
*REDMI NOTE 5 4+64GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 610,000
*REDMI NOTE 5 Pro 6+128GB*
BLACK GOLD
Tsh 770,000
*NOTE 6 PRO 3+32GB*
BLACK PINK BLUE
Tsh 580,000
*NOTE 6 PRO 4+64GB*
BLUE BLACK PINK
Tsh 660,000
*Mi A2 4+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 640,000
*Mi A2 4+64GB*
PINK BLACK GOLD BLUE
Tsh 660,000
*Mi 6X 6+64GB*
BLUE GOLD RED
Tsh 720,000
*Mi A2 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 830,000
*Mi 8 SE 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE RED
Tsh 940,000
*Mi 8 6+64GB*
BLACK GOLD BLUE WHITE
Tsh 1,060,000
*Mi 8 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE WHITE
Tsh 1,130,000
*Mi 8 Lite 4+64GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 690,000
*Mi 8 Lite 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 860,000
*Mi MAX 3 4+64GB*
BLACK GOLD PINK
Tsh 760,000
*Mi MAX 3 6+128GB*
BLACK GOLD
Tsh 900,000
*Mi MIX 2S 6+64GB*
WHITE BLACK
Tsh 1,110,000
*Mi MIX 2S 6+128GB*
BLACK WHITE
Tsh 1,220,000
*Mi Pocofone F1 6+64GB*
BLACK BLUE RED
Tsh 940,000
*Mi Pocofone F1 6+128GB*
BLACK BLUE RED
Tsh 1,050,000
*MI MIX 3 6+128GB*
BLACK
Tsh 1.4 million
Ukiagiza online, vipi maswala ya kodi ?Hapo ndio utaona ni jinsi gani tuna save pesa kuagiza overseas.
Huyu seller ni msembe sana hajibu sms kwa wakati ananibia sana nilimpa makavu.Mkuu kama seller ni FANTANCY TECHNOLOGY kuwa na subira atatuma...
this is coolJ
Jamaa wako fair sana hata kwa hizi bei zao ziko fair mkuu
*XIAOMI WHOLESALE*
*REDMI S2 4+64GB*
BLUE GREY PINK
Tsh 550,000
*REDMI 6A 2+16GB*
BLACK BLUE GOLD
Tsh 390,000
*REDMI 6A 2+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 420,000
*REDMI 6 3+64GB*
BLACK BLUE
Tsh 500,000
*REDMI NOTE 5 3+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 550,000
*REDMI NOTE 5 4+64GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 610,000
*REDMI NOTE 5 Pro 6+128GB*
BLACK GOLD
Tsh 770,000
*NOTE 6 PRO 3+32GB*
BLACK PINK BLUE
Tsh 580,000
*NOTE 6 PRO 4+64GB*
BLUE BLACK PINK
Tsh 660,000
*Mi A2 4+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 640,000
*Mi A2 4+64GB*
PINK BLACK GOLD BLUE
Tsh 660,000
*Mi 6X 6+64GB*
BLUE GOLD RED
Tsh 720,000
*Mi A2 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 830,000
*Mi 8 SE 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE RED
Tsh 940,000
*Mi 8 6+64GB*
BLACK GOLD BLUE WHITE
Tsh 1,060,000
*Mi 8 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE WHITE
Tsh 1,130,000
*Mi 8 Lite 4+64GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 690,000
*Mi 8 Lite 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 860,000
*Mi MAX 3 4+64GB*
BLACK GOLD PINK
Tsh 760,000
*Mi MAX 3 6+128GB*
BLACK GOLD
Tsh 900,000
*Mi MIX 2S 6+64GB*
WHITE BLACK
Tsh 1,110,000
*Mi MIX 2S 6+128GB*
BLACK WHITE
Tsh 1,220,000
*Mi Pocofone F1 6+64GB*
BLACK BLUE RED
Tsh 940,000
*Mi Pocofone F1 6+128GB*
BLACK BLUE RED
Tsh 1,050,000
*MI MIX 3 6+128GB*
BLACK
Tsh 1.4 million
Inapatikana kuanzia US $180-$300 kulingana na Storage na Ram, ila kwa sasa zilizopo ni Chinese version pekee, ukitaka global version inabidi usubiri.
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Kwani hiyo Chinese version ipoje mkuu. Kama nikiipata sitawezi kuitumia au? . Dadavua tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
ok umesomekaUliishawahi kukutana na kifaa kinatumia lugha ya kichina??kama magari ya kijapan yanavyokuja.
Halafu hakuna option ya lugha nyingine.
Si nzuri kwa matumizi ya watumiaiji nje ya China, ina lugha mbili tu Chinese & English, haina Google play services, haina global band kwahiyo inaweza isifanye kazi vizuri kwa baadhi ya mitandao.Kwani hiyo Chinese version ipoje mkuu. Kama nikiipata sitawezi kuitumia au? . Dadavua tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na njia ya usafirishaji uliyotumia kuna njia ukitumia lazima ulipie kodi, mfano: expedited shipping. Ila kwa njia ya posta unaweza usilipie ila ndio mizigo uchukua hadi wiki tatu kufika nchini.
Samahani mkuu naomba utaratibu wa namna ya kuagiza kupitia posta. Hiyo expedited nishawai fanya nataka nijaribu njia ya Posta mara hii.Inategemea na njia ya usafirishaji uliyotumia kuna njia ukitumia lazima ulipie kodi, mfano: expedited shipping. Ila kwa njia ya posta unaweza usilipie ila ndio mizigo uchukua hadi wiki tatu kufika nchini.
Ni kuchagua tu pale kwenye ku checkout, utaona orodha ya njia zilizopo na charge yake.Samahani mkuu naomba utaratibu wa namna ya kuagiza kupitia posta. Hiyo expedited nishawai fanya nataka nijaribu njia ya Posta mara hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kuchagua tu pale kwenye ku checkout, utaona orodha ya njia zilizopo na charge yake.
Hapana. Unaweza kuandika physical adress kama unavyoandika kwenye anuani ya expedited shipping, pia unaweza kutumia box la mtu mwingine ila wakati wa kwenda kuchukua mzigo ni lazima uwe na ID yako.
Hapana. Unaweza kuandika physical adress kama unavyoandika kwenye anuani ya expedited shipping, pia unaweza kutumia box la mtu mwingine ila wakati wa kwenda kuchukua mzigo ni lazima uwe na ID yako.
Ila kwa usalama zaidi ya parcels ni bora ufungue sanduku la posta haizidi elfu thelathini.
Kweli,Ni mpuuzi sana. Alikaa week hajanijibu sms.Huyu seller ni msembe sana hajibu sms kwa wakati ananibia sana nilimpa makavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hiyo Chinese version ipoje mkuu. Kama nikiipata sitawezi kuitumia au? . Dadavua tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna namna ya kuiweka Google Play Service?View attachment 1029314
Kuna jamaa yangu ameagiza Redmi Note 7 kaichukua wiki hii, anasema inapiga kazi vizuri ila ina Chinese characters nyingi pia haina Google play service.
Hadi ubadili ROM.