Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA

Habari za muda huu kwa mara nyingine tena

Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu

Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu

naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu

Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...

Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana

Elimu yangu: Degree

Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)

Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)

Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya

》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering

》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography

》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo

》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)

》Computer Networking

》 System analysis and design

MSAADA WENU WAUNGWANA

MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA

KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU

NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY

NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO

MUNGU WABARIKI SANA

NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI

NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA
 
Mbona Utumishi wanatangza sana hizo post tena kwa wingi unakwama wapi au prac hauko njema anyway utapata boss.
 
Nilkua nachek review ya mi capsule youtube,naona watu wanazidiss sana,wanasema ni crap

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Hakuna namna ya kuiweka Google Play Service?

Sent using Jamii Forums mobile app
unaweka kama kawaida Chinese ROM ni nzuri zaidi ata kuliko global mimi simu zangu zote za Xiaomi huwa naweka Chinese kwasababu ina features ambazo huwez kuzipata kwenye global kifupi ukitaka kupata features zote za Xiaomi tumia Chinese ROM utaenjoy....kuhusu Gapps hizo nenda app store ya Xiaomi search Google watakuletea installer ambayo itainstall kila apps za Google na utaweza fanya mambo yako kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mpaka kubadilisha ROM Bro hyo procedure ni ndefu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata mkuu, hii kwa sasa hivi inakubali simu yenye MIUI 9.5 na kuendelea, awali ilikuwa inakataa kabisa kuweka play store, maana niliwai kuweka kwenye Redmi 5 ilikuwa ina MIUI 8 ilikuwa ina block apps za Google, tangu hapo sikuwai kujaribu tena kufanya installation kama hiyo coz simu zote zilizofuata kuagiza zilikuwa global version. Ahsante sana kwa taarifa.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Bei ya sokoni kwa sasa ni kiasi gani? Redmi note 7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili kupata hizo features kwenye simu ambayo ina global rom, pale kwenye ku choose region unaweka China badala TZ. utapata hizo features zote ambazo hazipatikani globally.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…