Mkuu ulikua unatafuta store wanayouza Mi Power bank,leo nimeibamba mojaNajaribu kuangalia store inayouza huawei products Aliexpress, lakini wanatuma kwa expedited shipping only. Inapelekea bidhaa kuwa na bei juu!
Redmi Note 7 Pro bado hawaja release, hadi March 13.natafuta red mi note 7 pro hapa Dar inapatikana wapi nina kama sh laki 6 inatosha au niongeze?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani, ila kwenye warehouse ya China hana mzigo.Mkuu ulikua unatafuta store wanayouza Mi Power bank,leo nimeibamba moja
TZS 35,120.08 | 10000mAh Xiaomi Mi Power Bank 2 External Battery Bank 15W Quick Charge Powerbank 10000 PLM09ZM with Dual USB Output for Phone
US $14.99 |10000mAh Xiaomi Mi Power Bank 2 External Battery Bank 15W Quick Charge Powerbank 10000 PLM09ZM with Dual USB Output for Phone-in Power Bank from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wana find my device. Mi account inahusika hapo.Wakuu mwenye Maujanja ya kulinda simu za Xiaomi dhidi ya upotevu au wizi anatujuze
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaziweza ila hadi wanaziweza unaweza ukawa umepata simu yako? Ila chanzo cha kupoteza simu kabsa ni kuweka screen lock.
Mkuu na mm nilitaka kusema hivi. Simu ikiwa na lock za kutosha ndio chanzo cha kuipoteza kabisa. Sababu atakae ipata ata tafuta kila njia njia kutoa hizo lock, ila ikiwa haina lock kuna asilimia kadhaa za mtumiaji ku pumbaa hivyo kuitumia simu bila wasi wasi zaidi atatoa tu line. Japo sio njia salama 100%.Wanaziweza ila hadi wanaziweza unaweza ukawa umepata simu yako? Ila chanzo cha kupoteza simu kabsa ni kuweka screen lock.
Sent using Jamii Forums mobile app
SawasawaMkuu na mm nilitaka kusema hivi. Simu ikiwa na lock za kutosha ndio chanzo cha kuipoteza kabisa. Sababu atakae ipata ata tafuta kila njia njia kutoa hizo lock, ila ikiwa haina lock kuna asilimia kadhaa za mtumiaji ku pumbaa hivyo kuitumia simu bila wasi wasi zaidi atatoa tu line. Japo sio njia salama 100%.
SangaweJr
Watumiaji wa Xiaomi wanaongezeka kila kukicha! Hauwezi kuwa dormant.Uzi bado upo hai
Ni mara buku uilock simu yako aisee, wadau sikuhizi hawana akili kabsa wataomba hela kwa kila contact yakoMkuu na mm nilitaka kusema hivi. Simu ikiwa na lock za kutosha ndio chanzo cha kuipoteza kabisa. Sababu atakae ipata ata tafuta kila njia njia kutoa hizo lock, ila ikiwa haina lock kuna asilimia kadhaa za mtumiaji ku pumbaa hivyo kuitumia simu bila wasi wasi zaidi atatoa tu line. Japo sio njia salama 100%.
SangaweJr
Sana mimi password kila sehemu inadai password mtu akiomba simu apige akitoka afikiri ataenda meseji hawezi ingiaNi mara buku uilock simu yako aisee, wadau sikuhizi hawana akili kabsa wataomba hela kwa kila contact yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa India anazidi kuwaacha mbali wapinzani wake, nadhani hata Samsung M Series hawezi kufikia mauzo ya Redmi Note 7 & Redmi Note 7 Pro.Aisee mambo ni fire [emoji435] View attachment 1045460
Kwa budget yako nakushauri usubirie Redmi 7, Redmi 7 Pro. Zitakuwa ni simu nzuri kwa mid-range segment price.Ntafanyaje nipata simu ya xiaomi, bajeti yangu ni 350....(Global version)
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
Nasikia mauzo yataendelea tarehe 20 baada ya stock ya kwanza kuisha... India wametisha 🙌Kwa India anazidi kuwaacha mbali wapinzani wake, nadhani hata Samsung M Series hawezi kufikia mauzo ya Redmi Note 7 & Redmi Note 7 Pro.
View attachment 1045612View attachment 1045613View attachment 1045614