Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Labda ntazipata wapi & lini??

Pia kama unaweza kunisaidia kujua specifications zake
Zinapatikana kwa kuagiza online na inatarajiwa kuwa released March 18.


CPU: Snapdragon 632 14nm Octa Core Processor
Screen: 6.26 inch Water Drop HD+ Display
OS: Android 9 (Pie) MIUI 10
Storage: 2GB RAM+16GB ROM
Camera: 12MP Rear Dual Camera, 8MP Front Camera
Battery: 4000mAh

Itakuwa around $120-$160
 

Attachments

  • IMG-20190314-WA0002.jpg
    16.2 KB · Views: 39
Mziki upo kwenye kuiship hiyo power bank kaka!!!
Watu tumeagiza ila tracking inastuck kwenye "shipment ready for dispatch" utakaa pengine wiki 2 au 3 no updates na ukimwendea hewani seller ndo anakujuza kwamba mzigo umerudishwa so anakupa full refund.
Usipoteze muda boss wacheck wahindi wa Highlife unapata 16000mAh kwa 80k
 
Supplier wa uhakika ni yupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo inakua ni nini? hawaruhusiwi kutuma au? wakituma kwanni wasiandike puzzle toys?
 
tatizo inakua ni nini? hawaruhusiwi kutuma au? wakituma kwanni wasiandike puzzle toys?
Hawaruhusu kubeba high capacity lithium ion battery kwenye ndege !!
Hata Seller wakifanya hayo maujanja jamaa watabaini wakati wa kuscan parcel so wanairudisha ilipotoka.
 
tatizo inakua ni nini? hawaruhusiwi kutuma au? wakituma kwanni wasiandike puzzle toys?
Karibia sheria zote za anga zimewekwa baada ya kutokea ajali: mwaka 2010 ndege ya Boeing 747 ya mizigo ya shirika la UPS ilibeba shehena takribani 400kg za lithium batteries kwa sababu ya power banks ika catch moto ikiwa angani na ku crash Dubai UAE; baadae ilipita sheria ya kulimit ubebaji wa lithium batteries angani kwa abiria na mizigo.

Kuhusu ku customize jina la item kaa ukijua hizi item zikifika kwenye air freight center zinakuwa scanned na x-rays scanner, kwahiyo kinajulikana kilichopo ndani ni nini.
Hii sheria pia inakataza kusafirisha vifaa vyenye lithium battery mf: simu, flash ligh, etc kwenye package moja, ni lazima viwe separated.
 
Daah!! Ningekuwa kama ww ningekuwa tajiri kwakuwa ningejiajili. Kujiajili ndio inshu kiongoz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…