Haha bei ya moto aseeKwa wanaopenda picha na videos kuna hii mirrorless camera ya Xiaomi inaitwa Yi m1 inatoa picha kali na vdeo za 4k zenye quality sana mimi naitumia so nimeona niwashirikishe tu na nyie watumiaje wa Xiaomi wenzanguView attachment 1047421
Sent using Jamii Forums mobile app
inamana wao hawajui mashirika ya posta? au hao.seller hawajui hizo sheria zilizowekwa kuliko kulipia kitu daily refund na kutiana hasara za forex sasa si wasiuze tena yaan kiufupi waondoshe power bank sokoni maana hazitumwiKaribia sheria zote za anga zimewekwa baada ya kutokea ajali: mwaka 2010 ndege ya Boeing 747 ya mizigo ya shirika la UPS ilibeba shehena takribani 400kg za lithium batteries kwa sababu ya power banks ika catch moto ikiwa angani na ku crash Dubai UAE; baadae ilipita sheria ya kulimit ubebaji wa lithium batteries angani kwa abiria na mizigo.
Kuhusu ku customize jina la item kaa ukijua hizi item zikifika kwenye air freight center zinakuwa scanned na x-rays scanner, kwahiyo kinajulikana kilichopo ndani ni nini.
Hii sheria pia inakataza kusafirisha vifaa vyenye lithium battery mf: simu, flash ligh, etc kwenye package moja, ni lazima viwe separated.
Kwa kamera ni ya kawaida ukilnganisha na kampuni zingineHaha bei ya moto asee
Oooh! OkayTatizo la zimu za Xiaom
1. Nyingi zao hazina FM radio
2. Zinatumia Nano sim Card.... ambapo ni usumbufu kwa kupunguza lain ya simu, maana muda mwingine inaweza kuitaji kubadili simu hapo ndio kimbembe, maana Nano simu Card ni Ndogo zaidi sana.
3. Hazina Google play store.
4. Binafsi sijazipenda design yake upande wa nyuma.
Naona techno ipo vizuri kuliko hizi vitu.
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
lazima wewe ni kijijiniTatizo la zimu za Xiaom
1. Nyingi zao hazina FM radio
2. Zinatumia Nano sim Card.... ambapo ni usumbufu kwa kupunguza lain ya simu, maana muda mwingine inaweza kuitaji kubadili simu hapo ndio kimbembe, maana Nano simu Card ni Ndogo zaidi sana.
3. Hazina Google play store.
4. Binafsi sijazipenda design yake upande wa nyuma.
Naona techno ipo vizuri kuliko hizi vitu.
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
Kweli mm n wakijijini, Heri yako wewe mtoto wa mjini.... Hongera zako brolazima wewe ni kijijini
Asante mkuu, nimezifuatilia aliexpress , nimespendi muda mwingi kusoma description.View attachment 1047771
Mkuu umeniacha hoi hakika. Hahaha! LOL! Karibu sharubati
View attachment 1047772
Tatizo la zimu za Xiaom
1. Nyingi zao hazina FM radio
2. Zinatumia Nano sim Card.... ambapo ni usumbufu kwa kupunguza lain ya simu, maana muda mwingine inaweza kuitaji kubadili simu hapo ndio kimbembe, maana Nano simu Card ni Ndogo zaidi sana.
3. Hazina Google play store.
4. Binafsi sijazipenda design yake upande wa nyuma.
Naona techno ipo vizuri kuliko hizi vitu.
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
Hahaha mkuu unachekesha...... Xiaomi simu kali sana.Jaribu kuzitumia uone.Tatizo la zimu za Xiaom
1. Nyingi zao hazina FM radio
2. Zinatumia Nano sim Card.... ambapo ni usumbufu kwa kupunguza lain ya simu, maana muda mwingine inaweza kuitaji kubadili simu hapo ndio kimbembe, maana Nano simu Card ni Ndogo zaidi sana.
3. Hazina Google play store.
4. Binafsi sijazipenda design yake upande wa nyuma.
Naona techno ipo vizuri kuliko hizi vitu.
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
Hakika wewe ni mvivu sana kujiongezaTatizo la zimu za Xiaom
1. Nyingi zao hazina FM radio
2. Zinatumia Nano sim Card.... ambapo ni usumbufu kwa kupunguza lain ya simu, maana muda mwingine inaweza kuitaji kubadili simu hapo ndio kimbembe, maana Nano simu Card ni Ndogo zaidi sana.
3. Hazina Google play store.
4. Binafsi sijazipenda design yake upande wa nyuma.
Naona techno ipo vizuri kuliko hizi vitu.
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
Redmi note 61. Ni ipi uliyotumia ikawa haina FM Radio?
2. Kuhusu Nano card ndio technology ya kisasa ya SIM card. Hata simu nyingi za tecno zinatumia nano SIM card mf: Tecno Camon 11, Camon 11 Pro, etc
3. Global Version zote zina Google Play Service, hata kama ni Chinese version ipo njia ya ku install.
4. Ni ipi ambayo haujapenda design yake upande wa nyuma? Maana zipo series nyingi na model nyingi.
Do not hesitate to ask,...

Sawa boss,Hakika wewe ni mvivu sana kujiongeza
Sim nyingi za sasa hazina fm radio,lakini zipo app za fm radio
Nano simcard ndio technology ya sasa,mawe yote saiz yanatoka na nano sim card..tena tunaelekea mweny simcardless sasa sjui utafanyaje
Kuhusu google play ,global version zote zina playstore sijui umekwama wapi
Kuhusu design mbona kuna seriz tofaut zina design nzur tu..ww unataka design ipi?
Tatizo lako unatumia galaxy note ya 2011 ndiomana hutak nano sim card.
Kama hutak kubadilika mkuu utabak kweny hiyo note ya 2011.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Dhambi kubwa xiaomi uiweke kundi moja na Tecno😂😂😅Tatizo la zimu za Xiaom
1. Nyingi zao hazina FM radio
2. Zinatumia Nano sim Card.... ambapo ni usumbufu kwa kupunguza lain ya simu, maana muda mwingine inaweza kuitaji kubadili simu hapo ndio kimbembe, maana Nano simu Card ni Ndogo zaidi sana.
3. Hazina Google play store.
4. Binafsi sijazipenda design yake upande wa nyuma.
Naona techno ipo vizuri kuliko hizi vitu.
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
Hahaha sasa yangu mbona inayo na ni note 6 iko hivi hizo ni chinese version ila global zina playstore boss na hata hizo chinese unaweza weka playstore nimetoka muda si mrefu kuuliza hapo juu nikaelekezwa na nimefanikiwa kuweka playstore kwenye chinese version na mzigo upo kama kawaida.
Mhhh TRA wanafungua wanakagua vizurihawafungui kwanni mzigo wao?