Walekwa wenye maarifa ya uchumi na siasa,japo kidogo tusaidiane hili!!!!! Welcome.........

Walekwa wenye maarifa ya uchumi na siasa,japo kidogo tusaidiane hili!!!!! Welcome.........

Arnold Ndosi

Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
65
Reaction score
3
Kwa kumbukumbu zangu kama sijakosea, ni zaidi ya miaka miwili sasa imepita huku nchi yetu, Tanzania ikiwaa inatumia noti pesa za aina mbili. yaani kuna noti kubwa na ndogo, mbili tofauti tofauti za shilingi 500, 1000, 2000, 5000, na 10000. kwa uelewa niliokuwa nao mimi, huwa kila nchi ina sarafu au pesa za ina moja tu- ikitokea kwamba zipo mbili kwenye nzunguko ni kutokana na kubadilisha fedha.siwezi sana nikamini kwamba hili limelenga kubadilisha pesa kwa sababu kuu tatu:1;pesa hizo mpya(ambazo ni ndogo kwa maumbo) zinaonekana kuwa mbovu tena zenye kuchakaa kwa urahisi kuliko zile za zmani,2;zimekaa kwenye mzunguko kwa muda sana bila chochote kufanyika, 3; hakuna habari na maelezo yenye mantiki na ushawishi yaliyo tolewa kueleze sababu ya kubadilisha pesa.JE, KUNA SABABU AMBAYO PENGINE SIIFAHAMU KATIKA HILI? JE, HUWA KUNA NCHI YENYE CURRENCIES MBILI KWA WAKATI MMOJA? JE, KUNA HATUWA ZILIZO CHUKULIWA KUHUSU HILI MPAKA SASA??? JE HILI SWALA SIYO LA KISIASA? JE, MBONA TANZANIA NDIYO INABADILISHA FEDHA KILA MARA???. nitangulize samahani kwa maana hili si jukwaa la kiuchumi wala la kisiasa- ila ninaamini nitapata ufafanuzi wa kina!
 
Back
Top Bottom