mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Timu ya Taifa la Wales anayochezea chipkizi wa Manchester Utd D.James imetazamwa na mamilioni wa mashabiki duniani.
Sabab kubwa ni mchezaji huyo James anasifika kwa mbio.
Source:https://www.newsnow.co.uk/h/Sport/Football/Premier+League/Manchester+United
My take.
Timu ya Taifa imetazamwa je klabu yake mpya? Je makampuni yanayotaka kufanya biashara. Acheni mchezo soka ni biashara