princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Umeona huyu chalii alivyomzushi!Mkuu hebu acha uongo bwana!
Jiwe la wiki ilikua ngoma ya young D!
Huo wimbo unaosema wameucheza mida flani tu baada ya kuuliza maswali flan kwa youngd kuhusu zilla!
Halafu mchomvu hakuwepo!
Wanaume wa dar bwana mna chuki kweli sijui Kwanini!
Mkuu hebu acha uongo bwana!
Jiwe la wiki ilikua ngoma ya young D!
Huo wimbo unaosema wameucheza mida flani tu baada ya kuuliza maswali flan kwa youngd kuhusu zilla!
Halafu mchomvu hakuwepo!
Wanaume wa dar bwana mna chuki kweli sijui Kwanini!
The people's station DingiiKumbe Clouds Fm inasikilizwa hivi??
Anyway Jiwe la wiki haikuwa ngoma ya Zilla ilikuwa ya Young Dee
Najua mkuu mchomvu haingiagi ijumaa because of So so fresh,,Ila dozen ali anounce ivo but ikawa ile ya ya young Dee'Noma kweli'cjui labda aliongea ili ku-grab atention au vp!Mkuu hebu acha uongo bwana!