Waleteeee

Aahahahahah

Kuna baba alikutwa katikati ya kinena cha mtu leo mchana...

Akaulizwa wee baba kulikoni uko juu ya kinena cha mtu mchana huu badala ya kuwa kazini...

Huku macho yamemtoka akajibu, hata mi sielewi ila huu upepo wa kisulisuli ulinisukuma nilipokuwa natoka kupata mlo wa mchana kuja kushtuka niko juu ya kinena...

Kisulisuli on fleek... Aahahahahaa.
 
mama la kinyamwezi
 
Napendaga ukimalizia na "K Matata"

Na ukicheka kwa "heheheheheh"

Basi mimi roho yangu kwatu, hapohapo nalog off. Hahahah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…