*Mzee alienda kanisani kubatizwa alipotoka kwenye maji padri akamwambia “Sasa wewe ni kiumbe kipya,usinywe tena pombe na utaitwa Paul”. Alipofika nyumbani Paul akafungua friji akatoa bia ya Tusker akaitumbukiza kwenye maji akasema “Wewe ni kiumbe kipya toka sasa jina lako ni Fanta Orange”*
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using
Jamii Forums mobile app