hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
Walevi ni watu pekee wanaofikiri kwa namna ya ajabu...utakuta mtu kalewa chakari lakini atakwambia jajalewa
Ukimpa hasara za kiuchumi,kijamii na kiafya za pombe,atakupa faida za kutosha za pombe na mwishoni atakuuliza wewe mbona hunywi lakini tunafanana
Ujasiri wa mlevi hata special and highly trained commando Hana,mlevi atasema chochote,atalala popote na yeyote....
Walevi banana...