Walevi ni magenious na majasiri

hitler2006

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
489
Reaction score
454
Walevi ni watu pekee wanaofikiri kwa namna ya ajabu...utakuta mtu kalewa chakari lakini atakwambia jajalewa

Ukimpa hasara za kiuchumi,kijamii na kiafya za pombe,atakupa faida za kutosha za pombe na mwishoni atakuuliza wewe mbona hunywi lakini tunafanana

Ujasiri wa mlevi hata special and highly trained commando Hana,mlevi atasema chochote,atalala popote na yeyote....

Walevi banana...
 
kuwa mlevi wa kulala popote wala sio ujsiri ila ni kwamba wamejichoka tu huwezi kuua maini eti wewe ni jasiri huo ni ujinga wa kiwango cha awamu ya tano.
 
Yure mrevi mmoja humu ni niuma akirewa anagawa hadi tigo

Memento, Homo!!!
 
Kuanza kunywa pombe ndio ujasiri wenyewe hayo mengine ni matokeo tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…