Walevi tupo makini kinoma!!

hata ukipombeka sana lakini ausahau chenji kwa mhudumu kesho wewe ndio wa kwanza utamkumbusha mhudumu chenchi
 
Huwa wanashangaza kwelikweli wanatoka Baa wakikaribia ngumbani wanadondoka ( hawajitambui) . Huwa mnajifanya?
 
Pombe ikiwa nyingi mwilini ubongo unapata habari na unapelekea mlevi kulala ili pombe isiingie tena mwilini. Hii ni body’s own defence mechanism.
pombe ikiwa nyingi mwilini inafanya mwili utengeneze sana enzyme inayo convert alcohol kwenda aldehyde na kisha fatty acids na hivyo kumfanya mlevi awe na tolerance na large quantities za alcohol.

nawasilisha
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Tupeni utalaam zaidi kuhusu Excessive drinking
 
Tupeni utalaam zaidi kuhusu Excessive drinking
shida ya excessive drinking ni pale ini linapochoka kutengeneza enzyme ya kufanya convertion kwenda aldehyde na hivo kuleta toxicity mwilini. na pia fatty acids zikitengenezwa nyingi zinafanya ini lijae mafuta kwa kitaalam steatotic liver inayofanya ini kuwa gumu na kugoma kufanya kazi au kuleta cancer
 
Duhh ni hatari kwa watu tunaokesha tunakunywa mibia kwenye ma9t clubs,
Dalili zake zikoje ndugu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…