Wali kuku wenye nazi wamtia kiburi Leonel Ateba. Atamba kufanya balaa kwenye dabi Oktoba 19

Wali kuku wenye nazi wamtia kiburi Leonel Ateba. Atamba kufanya balaa kwenye dabi Oktoba 19

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Leonel Ateba kitu pekee anachokikosa Tanzania ni chakula cha Okok ambacho ni mchanganyiko wa mboga za majani zilizosagwa zinazoliwa na mihogo.

Hii Ilimlazimu kutafuta chakula mbadala cha kitanzania ambacho kitaziba pengo na hapo ndipo alipopagawa na Wali kuku nazi.

 
Mind game mnamkaba ateba edwin balua ana watia goli nyuma mwiko.
 
Muhogo na mboga za majani wapi na wapi?

MUHOGO mwenzie HARAGE bhana.

Tena ulichovye hilo HOGO kwenye mchuzi wa HARAGE

Ni tamu sio kidogo
Weeeeh! Hebu fafanua hogo hilo na harage hilo Mimi sijaelewa hilo hogo ni hogo gani na harage la wapi??!!
 
Back
Top Bottom