Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Chuzi dikodiko!!Muhogo na mboga za majani wapi na wapi?
MUHOGO mwenzie HARAGE bhana.
Tena ulichovye hilo HOGO kwenye mchuzi wa HARAGE
Ni tamu sio kidogo
Usiishi kwa mazoea dunia kubwa hii.Muhogo na mboga za majani wapi na wapi?
MUHOGO mwenzie HARAGE bhana.
Tena ulichovye hilo HOGO kwenye mchuzi wa HARAGE
Ni tamu sio kidogo
Mpaka sasa umekula mihogo mingapi mshangazi?Muhogo na mboga za majani wapi na wapi?
MUHOGO mwenzie HARAGE bhana.
Tena ulichovye hilo HOGO kwenye mchuzi wa HARAGE
Ni tamu sio kidogo
Weeeeh! Hebu fafanua hogo hilo na harage hilo Mimi sijaelewa hilo hogo ni hogo gani na harage la wapi??!!Muhogo na mboga za majani wapi na wapi?
MUHOGO mwenzie HARAGE bhana.
Tena ulichovye hilo HOGO kwenye mchuzi wa HARAGE
Ni tamu sio kidogo
Hata vinicius junior alikuwa vile vile ila sasa hivi hakamatiki.Balua hakuna mchezaji mule,mchezaji kufanya maamuzi mpaka ameze mate!
Babu vinicius na balua tofauti,mchezaji mziitooHata vinicius junior alikuwa vile vile ila sasa hivi hakamatiki.
Yuel rais wa nyuma mwiko alishwahi kusema anamhusudu Sana Edwin Balua sembuse wewe mla mihogoBalua hakuna mchezaji mule,mchezaji kufanya maamuzi mpaka ameze mate!