Wali mkavu na maziwa mtindi: Je kiafya ni mlo salama kula usiku?

Wali mkavu na maziwa mtindi: Je kiafya ni mlo salama kula usiku?

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Je, Chakula aina hii kinafaa kuliwa usiku (kabla ya kulala)? Na je kina faida au madhara?
Natanguliza shukurani za dhati,
Amen.
 
kwanini ule hivyo? maamuzi tu? diet? au mjamzito?
 
pole.......why usinywe maziwa fresh HUO UGWADU KWENYE MTINDI SIDHANI KAMA UNA VIRUTUBISHO VYOVYOTE JAPO BACTERIA WANAO GANDISHA HAWANA MADHARA KI AFYA
 
Back
Top Bottom