chollodehutch
Senior Member
- Jun 29, 2016
- 159
- 192
Umeongea kweli mie wali nauwashia mkaa, wali wa rice cooker na gas huwa sio mtamu kabisaWali mtamu unapikwa kwenye moto wa kuni na kufunikwa na mkaa juu yake ili uendelee kuiva taratibu
Wali mtamu lazima upikwe na tui la nazi halisi lililochanganywa vizuri kwa viwango sahihi kwenye maji yaliyochemka na iliki
Wali mtamu lazima mchele wake uwe ulishachambuliwa vizuri na kulowekwa kwenye maji kabla ya kupikwa
Wali mtamu lazima uwe na ukoko na matandu
Wali mtamu lazima upikwe na mwiko wa mti
Wali mtamu hupikwa na mwanamke msafi aliyeoga kabla ya mapishi na kuvaa kanga moja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sawa na kula makapiUmeongea kweli mie wali nauwashia mkaa, wali wa rice cooker na gas huwa sio mtamu kabisa
we na we unaanzaje kidume kukuna nazi?pika vyote ila sio mambo ya kukaa kwenye mbuziMi sioni km kunaa tatzo kwa wanaum kukuna naz ninachojua hili ni jukwaa la mapishi Na sote tunajfunza ila weng wet humu tunajua kupka Na wengne tuna idea ya kupka sasaa kwaa nn kukuna Nazi iwe haifaii kwaa wanaume? Wakat tayr tunaweza kupkaa mpishii hachaguii pishii...Na ni ushamba mwanaum kutojua kukuna naz au utakua mpishi uchwalaaa
We ukikuna nazii unabadlkana Nin kwanii..? Mbnaa wanaum weng zanzbr wanajua uzurii kukunaa nazii pia km ukijua kukuna naz basii hataa mkeo utawez kumkuna vzr...ooohwe na we unaanzaje kidume kukuna nazi?pika vyote ila sio mambo ya kukaa kwenye mbuzi
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]We ukikuna nazii unabadlkana Nin kwanii..? Mbnaa wanaum weng zanzbr wanajua uzurii kukunaa nazii pia km ukijua kukuna naz basii hataa mkeo utawez kumkuna vzr...oooh
Broo B/moyo miaka ya 2000 apo na shemegi angu mpemba asee wali mtam bhana ila kuvaa kanga moja apo nna wasiwasi nadhani umenogesha kazi na dawaWali mtamu unapikwa kwenye moto wa kuni na kufunikwa na mkaa juu yake ili uendelee kuiva taratibu
Wali mtamu lazima upikwe na tui la nazi halisi lililochanganywa vizuri kwa viwango sahihi kwenye maji yaliyochemka na iliki
Wali mtamu lazima mchele wake uwe ulishachambuliwa vizuri na kulowekwa kwenye maji kabla ya kupikwa
Wali mtamu lazima uwe na ukoko na matandu
Wali mtamu lazima upikwe na mwiko wa mti
Wali mtamu hupikwa na mwanamke msafi aliyeoga kabla ya mapishi na kuvaa kanga moja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Broo B/moyo miaka ya 2000 apo na shemegi angu mpemba asee wali mtam bhana ila kuvaa kanga moja apo nna wasiwasi nadhani umenogesha kazi na dawa
mshanaaaaaaaaaaaa,hahahaaaaaaa siku hizi hadi kwenye kupika?!!!!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wali mtamu unapikwa kwenye moto wa kuni na kufunikwa na mkaa juu yake ili uendelee kuiva taratibu
Wali mtamu lazima upikwe na tui la nazi halisi lililochanganywa vizuri kwa viwango sahihi kwenye maji yaliyochemka na iliki
Wali mtamu lazima mchele wake uwe ulishachambuliwa vizuri na kulowekwa kwenye maji kabla ya kupikwa
Wali mtamu lazima uwe na ukoko na matandu
Wali mtamu lazima upikwe na mwiko wa mti
Wali mtamu hupikwa na mwanamke msafi aliyeoga kabla ya mapishi na kuvaa kanga moja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mshanaaaaaaaaaaaa,hahahaaaaaaa siku hizi hadi kwenye kupika?!!!!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
hahhahahhaahhahaha ujarbu aseeee!Mmmh Madame huo ni Wali kweli? ππ
Hahahahaha,radha ya mwisho sijui itakuwajeMmmh Madame huo ni Wali kweli? ππ
Huu ni mseto wa pilau. Ngoja nii note kuna siku itahusika.Mahitaji:
- Macaroni
- Mchele
- Tambi
- Unga wa hiliki
- Peanut butter
- Carrot
- Kitunguu maji
- Nyama ya mbuzi
- Mafuta ya kupikia
- Maji
- Chumvi
- Vitunguu vichanga na cotmiri (kwa kupambia)
Jinsi ya Kupika:
1. Andaaa tambi kwa kukata mara tano, zinatakuwa ziwe piece fupi ili zichambuke.
2. Osha macaroni na mchele.
3. Kaaanga viungo vyote kwa pamoja, yani mafuta yakichemka weka kila kitu kwa pamoja kasoro hiliki na peanut butter.
4. Vigeuze kwa dakika tano kisha weka nyama ya mbuzi uliyokata piece ndogo ndogo, geuza funika.
5. Baada ya dakika 5 weka mchele , utaugeuza uchanganyike hasa na viungo na nyama.
6. Weka maji ya moto kasha weka macaroni, halafu funika. Vitachemka utageuza geuza.
7. Weka tambi geuza tena, funika na upunguze moto.
8. Baada ya dakika 10, chukua peanut butter ikoroge kwenye maji ya moto,kasha imwagie juu ya chakula vuruga ichanganyike!
9. Wale wa jiko la mkaa palia makaa juu andaa salad yako au unachotaka kusindikizia mlo wako. Wale wa oven pia weka uukaushe wakati unaendelea na maandalizi mengine!
Wakati wa kuserve utawekamo kajani kako kuremba, kama ni juu pembeni au chini!
NB: Ukikosa nyama ya mbuzi tumia kuku au ng'ombe! Samaki haitafaa maana unageuza geuza sana!
Unga wa hiliki weka wakati unapalia au kuweka kwenye oven!
USIWEKE WAKATI CHAKULA CHAKO KINA MAJI!
Sijui hata niliwaza nini ila sipendi kula wali ule ule kila siku. Mimi nilibuni tu na ilitokea tamu ajabu! Hutajutia,trust me!