Sweet corn ni nini?? Na inapatikanaje??MAHITAJI,
mchele 1/2kg
sweetcorn
mtindi
chumvi na
mafuta.
Upishi,
chemsha maji ya kupikia wali.
.. kisha injika sufuria na utie mafuta yakipata moto weka mchele na ukaange
mchele ukianza kubadilika Rangi, weka sweetcorn endelea kukoroga,
.. kisha miminia mtindi na kukaanga kwa dakika mbili .
.. ongeza maji na chumvi na ufunike.
wali wako waweza kula mkavu ama na mboga yoyote.
Sweet corn ni mahindi machanga/mabichi ya njano, unaweza ukayapata ya makopo supermarketSweet corn ni nini?? Na inapatikanaje??
Okay asante kwa ufafanuzi.Sweet corn ni mahindi machanga/mabichi ya njano, unaweza ukayapata ya makopo supermarket