Wali wapilau unanitatiza

Wali wapilau unanitatiza

Sunuka

Senior Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
138
Reaction score
44
Habari zenu: mimi ninatatizo moja mara kwa mara nikila pilau kesho kesho yake naharisha halafu tumbo nalisikia kama linawaka moto Kuna mtu mwingine huwa anajickia kama mimi namimi pilau nalipenda naombeni msaada
 
Msaada uliopo hapa ukila kitu halafu kikiwa kinakudhuru tumboni dawa yake kuu ni kukiacha achana na pilau yenye mafuta mengi ndio yanayokudhuru mkuu.@Sunuka
 
Inawezekana una allergy ya viungo vya pilau. Kuna vitu vingi Kama cinnamon , black pepper, cardamom na cumin. Labda mwili wako hauelewani na hizi spices.
 
aisee nami nina tatizo kama lako, ninachofanya mimi ni kutokula pilau. Sijajua sababu ni nini nafikiri wadau watatuambia.
 
Jamani vijipu .. eh..vipele er.. vidonda vya tumbo hivyo nendeni mkapimwe kwa uthibisho!
 
Pengine unakula pilau yenye viungo vingi sana, kama unapika mwenyewe weka viungo kidoogo,
 
Mkuu seems pilau limekukataa,jaribu kula msosi mwingine sheikh!!
 
Back
Top Bottom