Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Wanaoandikisha wanafunzi na wananchi nje ya vituo rasmi vya kupiga kura wanalipwa na nani? Wametumwa na nani? Kwa malengo gani? Je, wanaoshiriki mauaji kwenye siasa wananufaikaje?
Tumeona clip ya wanachama wenu wakitaka kuua kisa uchaguzi wa serikali za Mitaa, clip na maneno yanayosambaa wamewataja wahusika kwa maneno. Naamini kwa kiburi mtakataa na mtakataza wahusika wasichukuliwe hatua.
Lakini wakati mnakataa kuhusika tambueni wananchi wameona na hao waliotenda wanafahamika. Mnaivuruga nchi kwa mambo yasiyo kuwa na tija.