Walianzaje kupewa haya majina

Walianzaje kupewa haya majina

Sielewi wazazi huwa wanawaza Nini kuwapa majina km hayo watoto wao,

Kuna watu wanapitia aina fulani sawasawa na majina waliyoitwa, nashukuru Mungu nilipewa jina zuri sana napenda kuliishi japo sometimes nayumba
 
Zamani ilikuwa ni kurithishana tu


Skuiz wamejaa kina

Nicole
Junior
Brilliant
Camila
Santiago
Godlove
Godliver
Godlisten. N.k
 
Yaani wewe kama Mzazi unaanzaje kumwita mwanao majina haya:-
  1. Musiba
  2. Masumbuko
  3. Pombe
  4. Shida
  5. Mateso
  6. Mutafungwa
  7. Kaburiwazi
8. Tundu (matokeo yake jamaa anataka watanzania kuwa wasenge kama yeye kisa yeye ana tundu la ziada)
9. Zito (kajamaa kamekuwa kabishi na mzito wa kuelewa vitu, anajielewa yeye tu)
 
Pombe probably wazazi kama walikuwa Wana deal za kuuza pombe??

Nawajua watu walikuwa Wana mashine ya kusaga wakamwita mtoto wao sembe
 
Back
Top Bottom