Walichakachua katika thread ya uchaguzi

hehehe usingizi?? mimi niko kariakoo teari na tenga langu la nyanya nipeleke kibandani kwangu.
 
dah babu msanii,, nimekukubali
hako kamkono si ulisema mpaka unikague ndo nikatoe au?.
hehehe kumbe nishampiku konny yarabi toba nimefurahi ngoja nianze na kisichana sasa hivi

La haula lakwata. We binti mgombea wako ni nani? Unafaa kupiga kampeni.
 
nachojua,
am loyal to my husbands

siku zote, siwaachi when they need.
Go, explore but remember where you you belong.

sijui niendelee kukuita wifi au mke mwenza lol,nijibu please.
 
Babu Asprin na Kabakabana mmeamkaje?
Swali kwa Babu asubuhi yote hii umemuacha Bibi Kitandani unafanya nini JF..
Na wewe Kabakabana huna usingizi?
Mie Koplo wa Geshi lazima boot lifungwe..ndo mkono uende kinywani.
Naona mnahakiki matokeo bila chenga
Afu we nani kakupa ruhusa ya kuchakachua sredi ya Supaman? Unataka kulamba Ban ID zako zote saba?

nachojua,
am loyal to my husbands

siku zote, siwaachi when they need.
Go, explore but remember where you you belong.
Am your hubby, hao wengine ni nyumba ndogo ambao nimekuruhusu uwachune nikiishiwa hela ya bia...... nisisikie tena ukiwaita husbands sawa? Be warned!

dah babu msanii,, nimekukubali
hako kamkono si ulisema mpaka unikague ndo nikatoe au?.
hehehe kumbe nishampiku konny yarabi toba nimefurahi ngoja nianze na kisichana sasa hivi
:juggle::A S-coffee:😛hoto:
 
Babu Asprin na Kabakabana mmeamkaje?
Swali kwa Babu asubuhi yote hii umemuacha Bibi Kitandani unafanya nini JF..
Na wewe Kabakabana huna usingizi?
Mie Koplo wa Geshi lazima boot lifungwe..ndo mkono uende kinywani.
Naona mnahakiki matokeo bila chenga

Babu ana hang over maana avatar ya Kabakabana inamfanya aende na Sabuni toilet halafu kamwacha bibi kitandani :lol::lol:

ujue raha sana
nina wamme wawili
na nina wake wawili

nina batani ya kuswichi ofu ambayo siitumii kwa wakati huo.

Hivi Babu anatoka na Kongosho? Mbona utata? Kongosho ni ni Dual Gender na zote Full Functional? (Certified).

Maskini Babu . . . . mpaka mwili unasisimka!
 
hivi FL1 sisi wengine hujatuona au?

bht mie na wewe ni kama samaki na maji kama si hapa basi kwingine lazima ukumbukwe hehe
Please forgive me.i hope uko powah sana weekend ya leo.
 
ujue raha sana
nina wamme wawili
na nina wake wawili

nina batani ya kuswichi ofu ambayo siitumii kwa wakati huo.

Unapo swichi ofu usiyotumia inaingia ndani au inabaki nje ikiwa visible niko interested na hii mechanism.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…