Walichakachua katika thread ya uchaguzi

hehehe usingizi?? mimi niko kariakoo teari na tenga langu la nyanya nipeleke kibandani kwangu.
Safi sana naona mambo ya entrepreneur Kabakabana naelekea mitaa hiyo nitunzie mafungu matatu na nusu
Ngoja nirudi kwenye line kabla hatujapewa ban kuchakachua sread ya SM
 
Nini bana . . .Mbinu za kunanihii . . . Aibu kusema bana!

Unaona aibu kusema kwa sababu nafsi yako inakusuta...
Heri usiseme maana naweza kukupa jibu ukajikuta unasahau mchakato wa uchaguzi....
Uliona jana Bishanga kapata la 'random guy'?
 
ujue raha sana
nina wamme wawili
na nina wake wawili

nina batani ya kuswichi ofu ambayo siitumii kwa wakati huo.

Shida ni kwa Waume kama ukiamua kuwageuzia kibao. tabia zako zina utata Kongosho.
 
Superman bwana mbona unaanza kuchakachua sread yetu

Ukinikubali VIP ...enzi zileeee

Sichakachui Bibie . . . nataka nikuonyeshe vituo vya kupigia kura wakati tunmasubiri rufaa . . .

Hapo penye red zijakuelewa!
 
Safi sana naona mambo ya entrepreneur Kabakabana naelekea mitaa hiyo nitunzie mafungu matatu na nusu
Ngoja nirudi kwenye line kabla hatujapewa ban kuchakachua sread ya SM

haya mamie nakusubiri,
 
yah i would love too my pipiboy,,n let the music be the sweetness of your voice.

Blues right? Slowly . . . I am not a normal human. I am Superman:

What else do you wish? You request and wishes should not go beyond the limits . . . lol
 
Blues right? Slowly . . . I am not a normal human. I am Superman:

What else do you wish? You request and wishes should not go beyond the limits . . . lol

am so honoured,where were you all this time?
Okay i need a sweet now kiss my angel papai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…