Walichofanyiana Shilole na Nuh Mziwanda walipokutana kwenye basi la Fiesta

Walichofanyiana Shilole na Nuh Mziwanda walipokutana kwenye basi la Fiesta

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Shilole na Nuh Mziwanda walikutana kwenye basi walipokuwa wanaenda Fiesta, wasanii hawa wamekuwa na bifu na walichuniana walipokutanishwa kwenye kipindi cha tv clouds na wamekuwa wakipigana majungu mitandaoni.

Lakini walipokutana kwenye basi Shilole alimuambia Nuh Mziwanda yaishe na kumwambia yupo kwa ajili yake na kumwagia mabusu mazito, pengine watarudiana.

Heheheh lakini jukwaani alianza kupanda Nuhu akazomewa,alivyopanda shishii baby shangwe ya kufa mtu halaf akatoa madongo hayoo
 
du ina maana yule mpenzi wa dogo janja nuuuu tumbo joto
 
Mleta mada anaingiza na uongo wake,
Iko hivi, shilole kwao ni Tabora sasa wanaingia Tabora ambapo ni ngome ya shilole sasa mwenye mji wake anaamini huenda nuh atakua anaogopa kupopolewa na mashabiki wa tabora wanaochukizwa na beef yao sasa ndiyo kaamua kumpa moyo
 
Hivi na Nuhu kwao wapi ili nae akalipe kisasi??
 
Back
Top Bottom