chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Hivi na Nuhu kwao wapi ili nae akalipe kisasi??Mleta mada anaingiza na uongo wake,
Iko hivi, shilole kwao ni Tabora sasa wanaingia Tabora ambapo ni ngome ya shilole sasa mwenye mji wake anaamini huenda nuh atakua anaogopa kupopolewa na mashabiki wa tabora wanaochukizwa na beef yao sasa ndiyo kaamua kumpa moyo
huyo ana asili ya uhehe asiyejinyongaHivi na Nuhu kwao wapi ili nae akalipe kisasi??