Mcanada
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 982
- 1,942
Habari wanajukwaa wa JF, Naamini mwaendelea vyema kabisa huko bongo.
Mimi ndugu yenu nipo hapa Canada baridi ni kali kweli kweli ila wakati huu ambao nimepumzika hapa na mchepuko wangu wa kizungu (maana mkewangu kaja huko Tanzania kusalimia wazee) nimeona nishee jambo kidogo kuhusu mambo ya soka la kibongo.
Ukitazama kikosi kilichopangwa jana kwenye mechi ya Simba sc Vs Mlandege kama wewe una IQ ya juu utagundua mambo mengi sana ila kubwa zaidi ni mkakati wao wa kutotaka kushiriki kombe hilo ili kutunza nguvu ya kikosi chao tegemezi kwa ajili ya kombe la Klabu bingwa Afrika maana kule ndiko Simba Sc inapokula pesa za kutosha na kuifanya klabu yao kuwa imara.
Ni wazi mpango wao ulifanikiwa japo mashabiki wengi wamepiga kelele na kutukana matusi mengi ila ukilitazama jambo hili kwa undani unagundua Viongozi wa simba sc wamefurahi kwakuwa mpango wao umefanikiwa kwa 100%.
Kitendo cha benchi la ufundi kuingiza reserve players na baadhi ya wachezaji kutoka timu ya vijana(Simba Sc B) ni wazi Simba Sc hili kombe hawakutaka tu kushiriki na hawalitaki kwakuwa halina manufaa wala thamani kwao wameamua tu kwenda zanzibar kutest hao reserved players kuona ni nani abaki na nani wamtimue msimu ujao.
Pili wameenda tu zanzibar kutembea tu na kutalii kwa ajili ya refreshment ya kikosi chao ila akili zao zote zipo CAF maana hata kombe la NBC wamelikosa kwakuwa akili na mipango yao yote ipo CAF ambako nako bado kuna sintofahamu kibao..
Wacha nizime simu sasa nile mbususu ya kizungu🙂
Ni mimi balozi wenu wa kujiteua! - Mcanada.