Walichokifanya Simba Sc kwenye Mechi ya Mlandege ni wazi wameamua kulipuuza Kombe la Mapinduzi na kuamua kujitoa kimkakati

Mimi ndugu yenu nipo hapa Canada baridi ni kali kweli kweli ila wakati huu.

Upo Canada au Karatu kindly distinguish.
 
Wewe akili huna.




Sasa kundi lina timu 3 unategemea kutakuwa na mechi ngapi?ina maana timu nzima na uongozi hawajui mfumo wa kombe ulivyo????alafu uje kujua wewe!!!!!!

HIZI SHULE BORA ZIFUNGULIWE TU MPUNGUE HUMU.
 
Simba kwa mlandege ni mchumba tuu
 
Tatizo la nyinyi simba kila mkifungwa lazima mutunge sababu badala ya kufanyia kazi mapungufu ili musifungwe tena.
Na hii itawagharimu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…