Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Ku close apps zote ulizofungua kwenye apps ni lazima mtumiaji haweze kurestart kifaa chake au aingie setting haweze Ku close app moja moja sio kama ilivyo android πInawezekana tangu zamani sema watumiaje ahajui nanma ya kufanya
Yako mengi ila Hilo ni mojawapo πHilo tu?
Lakini kwanini uclose zote kwa pamoja? Kama ni suala la battery kuisha haraka, hizo app ni bora kuziacha hivyo hivyo wazi..ukifunga..inapoanza ukifungua upya inakula battery zaidi!Yako mengi ila Hilo ni mojawapo π