Uchaguzi 2020 Walidhani wameiua CHADEMA, sasa kampeni ya "Kitanda kwa Kitanda" ya nini?

Mzee Strikes again! Nakumbka enzi hizo za Mzee Punch UDSM -Mlimani. Mzee warns of tampering with Mzee's publication on the sacred wall!
Temper na CDM uone makali yake! "Mzee" jiwe ameshang'amua!
Asante Mkuu

Lissu Strike Again,

Mipango yooote inaanza upya.

Kumbuka Dunia nzima inajua hii ligi ni Kati ya Survivor na cowboy.

Ha ha a.
Ni Kama fainali ya Aina yake,Dunia nzima itakua inafuatilia.
Hivyo hata faulo zitakua monitored.
Isitoshe Mgombea mmoja Ni Roho ya paka hafi kirahisi na hakubali kadhulumiwa.
Mungu tuvushe salama kwa hili.
 
Watu wasioijua acacia wanadhani acacia si Barrick wakati ndiyo wale wale wakitaka kuamini waambie wakachunguze hata nembo ya Barrick na ya acacia wakikuta tofauti yoyote waje hapa kumsifu waliyemsifu kuwa anapambana na wezi
 
njaa imewapa akili kila mtu anajua pombe ndo imeleta njaa solution ni kutokulewa tena tukilewa agin tumekwiiisha
 
asipotoka october atoki tena,chance pekee tuliyonayo watz ni october 28 kukomesha mateso yetu
 
Rais wetu na Mwenyekiti wetu mpendwa usiwe na wasiwasi huku mtaani upinzani hakuna, tena huna haja ya kufanya kampeni wewe pumzika tu watanzania kazi yako wanaikubali na kura watakupigia.
watz wana njaa hatari,kurudia kosa again watkufa kabisa.Hali ya kupiga kura imerudi kwa kasi sana baada ya lisu kuchukua fomu
 
Awamu hii imejimaliza yenyewe kwa matendo maouvu iliyowatendea wtz mfano kuwasomesha watu namba hili ni kosa kubwa ililofanya.
Nguvu yake ilikuwa alipokuwa na uwanja wa media peke yake ila kupitia kampeni hakika huyu atakuwa dhaifu mno maana hakuna alichokifanya akakamilisha yaani namwonea huruma ila nabaki tu kusema aliyataka mwenyewe haya.watu hupenda sana uhuru wateme nyongo tu ukiwazuia watakusumbua mno later maana hawawezi kushindwa kujinasua maana mwanadamu anapenda uhuru zaidi rejea EDENI utagundua Hawa na Adam walitaka kujua mengi kuliko waliyotakiwa kuyajua ina maana waliona ni kama hawapo free kiasi
 
Ukisikia mbuni kaingiza kichwa kwenye mchanga ndo hivi
 
true halafu watu wanayo mengi ya kutema nyongo sababu wamezuiwa miaka 5 wakati yeye alishayamaliza ya kusema.Hana jipya zaidi la kuwaambia watz zaidi ya sgr,ndege na bwawa plus mabeberu,utadhani anaongea na kizazi cha miaka ya 70 cha enzi za mwalimu.Hiki ni cha dot com global vision hana uwezo wa kukisawishi,pombe alibebwa tu na upepo wa chagua MAGUFULI baada ya watu kuichoka ccm na sababu watz awakukijua kikombe kwa ndani but tayari kila mtu ameijua rangi yake halisi.Utawaambia vijijini waenye njaa eti mabeberu hali wanakufa njaa.
Hawezi hoja kwa hoja ataboronga sana kwenye kampeni hana hoja za kuwashawishi wat aliowaumiza wamuamini tena
 
Hakuna kusomeshwa namba tena sasa njaa yatosha,nafasi pekee ni october kama watz mtakosea tena mmekwisha rangi halisi tumeiona,
kumiliki tume,dola nk sio kumiliki watu wajumbe ndio sisi,maamuzi ni yetu kuweka aina ya serikali tuuitakao,achaneni na propaganda hatuli sgr,ndege,wala bwawa miradi ambayo haina chance ya kukamilika itakoishia njiani.
Mkikosea tena atoki tena nafasi pekee ni october
 
Umeandika upotolo!
 
Na hapo ndipo umuhim wa Lissu unapoonekana...
 
Ni kinyume chake ccm ndio inakufa.
 
Jitokezeni kwa wingi mlioumizwa mliosomeshwa namba mkalipe kisasi October 28 kwa kumchagua mtanzania mwenzetu tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…