Uchaguzi 2020 Walidhani wananchi wanataka ndege kumbe wananchi wanataka uhuru kwanza

Wananchi huwa hawaeleweki akiwapa uhuru mnataka ndege hamtaki uhuru akiwapa ndege hamtaki ndege mnataka uhuru kwahiyo kaamua aforce kimoja
 
Unatembea kwenye lami , gari zuri , kwenye madaraja makubwa na kupanda ndege lakini nakula Milo miwili asubuhi chai na kitumbua kimoja ,mchana nashindia maji hafu mpaka usiku napiga ugari na bamia mix nyanya chungu au chainizi. Aisee kwa maisha haya sijui kama ndakuchagia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtageukana mwaka huu. Nyimbo za Stigler na SGR zimefeli.
 
Kama Mungu mwenyewe anataka tuishi kwa kumtumikia ila tukiwa na uhuru wa kuamua tupendacho yeye nani tumkumbatie tu wakati hata ninapoandika comment hii nawaza huenda kesho sitaandika tena kutokana na wale watu wabaya!?
Kwa kweli kwenye kura nitakoleza kabisa kuisaka nchi ya amani na haki
 
Mkuu, million 55 ukiigawa kwa watu million 55,
Kila mtu atapata sh 1 moja, na siyo million 1 moja kama unavyosema.
Wa Tanzania tupo milion 55
Kwanini serikali isitenge milion 55 itugawie kila mtu milion 1? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani hayo maflyover sisi watu wa tabora yanatusaidia nini?
 
We Bite wewe, mbona unataka nitamani kuingia ktk ndoa za mitaala kwa kuguswa na wanamama jasiri na wa kipekee wenye uelewa wa ziada wa mambo muhimu yanayohusu kesho ya mama Tanzania. Kongole nyingi sana kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…