Walienda Egypt kupoteza hela na muda

Walienda Egypt kupoteza hela na muda

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Bila shaka msimu huu anachukua utopolo tena, Mpira ni science sio sifa sifa na kuleta makocha wabovu.

Yanga wako compact sana na wameongeza watu wachache, hivi game Kama hii unamuanzisha Mwenda ambae amekosea na kuzingua tokea kipindi cha kwanza, unamuanzisha Kyombo, kweli jamani unamuacha Kagere na Mugalu unamuanzisha Kyombo na mzungu ambae haeleweki ametokea wapi, kweli Kyombo?
MIMI SIO MCHAWI LAKINI SIMBA HAINA KOCHA.

MLIPIGA SANA KELELE UTOPOLO KUBAKI HAPA HAWAKWENDA PRE SEASON SIJUI HAWANA FITNESS KUMBE WEWE UNAE MWENDA NA KYOMBO.

KUDADEKI
 
Back
Top Bottom