Hakuna wizara ya kisenge kama wizara ya elimu Tanzania, mawaziri waliongoza wizara hiyo wamekosa utashi wa mawazo mfano
@Mungai,alifuta michezo,book keepn, commerce,agriculture na kufanyia fusion chemistry na physics
@umeona wapi mwizi akapewa 2nd chance ya kuiba? nidhamu ya elimu iko wapi shule imefutiwa matokeo ikapewa nafasi tena wanafunzi wafanye tena ujinga
@syllabus inabadilika kila cku wanafunzi walimu inawachanganya je wanafunzi itakuwaje?
@mtihani wa darasa la nne ni kama haupo, wa la saba multiple choice,wa form two umepoteza maana kulikuwa na average ya 30% wanafunzi vilaza wakadai ni kubwa sana wizara inafikiria kushusha hadi 25% je kuna umuhimu gani mtihani huo uwepo? nk,yani kuna mauzauza kibao katika elimu ya Tanzania