Walihamia Dodoma kutwa wapo Dar

Walihamia Dodoma kutwa wapo Dar

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Japo Makao Makuu ya nchi yapo Dodoma Ila Watu wanashinda Dar Kwa
1. Semina elekezi,
2. Mikutano,
3. Misiba,
4. Harusi,
5. Ukaguzi wa miradi,
6. Mechi za kimataifa
7. Uapisho
**na per Diem kama kawa.

NB: Mjini mipango,
GHARAMA hizi analipa Nani?
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
20220907_161104.jpg
Sema wengine washakata na kamba zenyewe.
 
We acha mwenyewe natafuta kama mil 3 nifanye mchakato wa kurudi daslam🤔daslam ndio Tanzania bana🙏
 
Back
Top Bottom