Walihamia Dodoma kutwa wapo Dar

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Japo Makao Makuu ya nchi yapo Dodoma Ila Watu wanashinda Dar Kwa
1. Semina elekezi,
2. Mikutano,
3. Misiba,
4. Harusi,
5. Ukaguzi wa miradi,
6. Mechi za kimataifa
7. Uapisho
**na per Diem kama kawa.

NB: Mjini mipango,
GHARAMA hizi analipa Nani?
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yakeSema wengine washakata na kamba zenyewe.
 
We acha mwenyewe natafuta kama mil 3 nifanye mchakato wa kurudi daslamšŸ¤”daslam ndio Tanzania banašŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…