Eghorohe
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 220
- 79
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani hivi mnajua kuwa hakuna watu hatari kama walimu duniani madhara yao hayawezi kuonekana kirahisi kama walivyo madaktari na kada nyingine lakini madhara yake yanatokea baada ya miaka kadhaa na hii inaathiri uchumi wa taifa na maendeleo kwa ujumla je serikali mnalijua hili au mnajua kukimbilia mahakamani tu je mnajua ni kitu gani kilicho mioyoni mwa walimu hawa je mnajaribu kufuatilia ni kitu gani kinachofundishwa na walimu hawa je mmejiuliza ni kwa nini kumekuwa na matokeo mabovu kwa kipindi ambacho walimu wamekuwa na mgogoro na serikali au ni kwa sababu watoto wa wakubwa wanasoma kwenye shule ambazo walimu hata siku moja hawafikirii suala la mgomo maishani mwao kama ukweli ndio huu basi tusitegemee jipya nchi hii kwa maana ya kuwa watoto wa watawal wataendelea kuwa watawala na watoto wa wakulima wataendelea kuwa watawaliwa mpaka mbingu itakapofunuka