nikita clement
New Member
- Aug 23, 2013
- 4
- 0
habari wapendwa
naombeni mnisaidie hili nijue watu walioomba kubadilishwa vyuo na TCU, TAYARI?? Maana nilipangiwa chuo filani na nikaomba wanibadilishe lakini sijajua kama wameshabadilisha..
asanteni