nikita clement New Member Joined Aug 23, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Sep 25, 2013 #1 habari wapendwa naombeni mnisaidie hili nijue watu walioomba kubadilishwa vyuo na TCU, TAYARI?? Maana nilipangiwa chuo filani na nikaomba wanibadilishe lakini sijajua kama wameshabadilisha.. asanteni
habari wapendwa naombeni mnisaidie hili nijue watu walioomba kubadilishwa vyuo na TCU, TAYARI?? Maana nilipangiwa chuo filani na nikaomba wanibadilishe lakini sijajua kama wameshabadilisha.. asanteni
ranicta nicta Member Joined May 24, 2013 Posts 60 Reaction score 20 Sep 25, 2013 #2 Bado mkuu ila kuna jamaa alinambia tujaribu kupiga simu katika chuo ulichoomba kuhamia eti majina yametumwa kwenye vyuo husika
Bado mkuu ila kuna jamaa alinambia tujaribu kupiga simu katika chuo ulichoomba kuhamia eti majina yametumwa kwenye vyuo husika
C chikawe Member Joined Mar 16, 2013 Posts 70 Reaction score 9 Sep 25, 2013 #3 Habari nilizozpata kwa m1 wa wafanyakaz kuwa kesho watatoa
ranicta nicta Member Joined May 24, 2013 Posts 60 Reaction score 20 Sep 25, 2013 #4 Jamani kila siku kesho kesho nadhani yatatoka pale ambapo tumesahau