Waliitwa wapiganaji ndani ya CCM na wakawa ndio tumaini la CCM katika uvuaji magamba, je imetokea nini ? Mbona hawako Igunga kwenye uwanja wa mapambano na badala yake walioitwa mafisadi ndio wanatamba ? Naomba maoni ya wakereketwa humu ndani wanisaidie kulitatua hili fumbo, imekuaje hadi hawa wapiganaji hatuwasikii tena ?
View attachment 38028
Je wametupa silaha chini au yenyewe ndio magamba na sasa yamevuliwa ?
Ni vigumu wananchi kulielewa hili,na kama tungekuwa si wavivu wa kufikiri hapa ndio lilikuwa anguko la CCM maana wale waliokuwa wanajiita makamanda wa kupambana na ufisadi hata kama ni kwa kujipendekeza basi hawatakiwi maana watakiua kabisa chama,CCM wanachotaka ni kushinda kwa hila zote sasa hawa wakienda na sera zao za kuyapinga magamba wakati moja ya gamba CCM ililiangua lifanye kampeni unategemea nini hapo? Hilo gamba ndo liliombwa liwasaidie kupiga kampeni,hao nao wenye hizo picha wanajifanya wanapinga ufisadi hawataruhusiwa kwenda huko.
Anaeruhusiwa ni yule tu anaekubali ufisadi,ila hao nao ni waongo tu kwani wanafiki huwa wako hivyo,mbona hawakusimamia sakata la Richmond,mwisho wa siku Siita alisema mjadala wa Richmond umefungwa ulifungwaje?nani ni Richmond na je kamati ilimpata na hatia leo ikoje hali?hao wote ni magamba.
afadhali ya hao wengine. Ila mheshimiwa nepi???!!!
haswaaa mkuu. Nepi kazi yake kusema huko fesibuku kuwa nimekwenda igunga na nitakwenda tena.ole wao waonekane Igunga naskia RA amechagua watu wa kwenda kule
akihutubia mkutano wa hadhara.