KITWANGAUTAM
Member
- Jan 19, 2013
- 80
- 18
upo class unafundisha geo mada ni rotion of the earth...mwanafunz akauliza kwa hiyo kama dunia inajizungusha na sis bila shaka tunazunguka pia, lakin mbona dakika hii hapa tulipo hatuzunguki na ile hali unasema dunia inajizungusha wakati wote? Plz tusaidiane namna ya kumwelekeza.
Mbona rahisi sana.?
Jibu ni kwamba vitu vyote vilivyo katika dunia navyo vinarotate, so hamna relative motion baina ya objects vilivyo duniani. kwa ufupi ni hivyo.
Rekebisha heading mkuu....sio kudadafua ni kudadavua...lol!
Ni rotation of the earth sio rotion! . Ni hayo tu.
Walim 2tafika? Unatakiwa ushughulishe akili na kufikiria fasta la cvyo utaumbuka huko dasasan. Na mim nna swali nikuulize?
usiku na mchana ndo unatujulisha kama dunia inazunguka. mia
heshima yako mkuu. mia:clap2:
upo class unafundisha geo mada ni rotion of the earth...mwanafunz akauliza kwa hiyo kama dunia inajizungusha na sis bila shaka tunazunguka pia, lakin mbona dakika hii hapa tulipo hatuzunguki na ile hali unasema dunia inajizungusha wakati wote? Plz tusaidiane namna ya kumwelekeza.
wape huu mfano wa comparison kuwa bakteria akiwa juu ya mpira(size 4 fifa) kutokana na udogo wake na ukubwa wa mpira ukiuzungusha ule mpira yule bakteria hawezi kuhisi chochote uwiano sawa kwa sisi binadamu ukilinganisha na ukubwa wa dunia
Walim 2tafika? Unatakiwa ushughulishe akili na kufikiria fasta la cvyo utaumbuka huko dasasan. Na mim nna swali nikuulize?