Ilipo anzishwa walimu wa upe kulikuwa na faida zake na hasara zake baadae walimu hawa wamefutwa (wengi wao wamesha staafu).
Gafla wakaja waalimu wa voda fasta na wenyewe wapo wapo kiaina.
Serikali imeamua kutumia mtindo huu kama njia suluhishi kwa tatizo la upungufu wa walim mashuleni.
Je faida na hasara za programe hizi zimezingatiwa ipasavyo?