Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Hivi karibuni nategemea kuanza biashara ya kubandika kucha bandia na kupaka rangi kucha!
View attachment 2221836
Kwa wale wenye uzoefu na kazi hii naomba msaada wa mahali naweza pata chimbo la vifaa vyote vinavyohusika na bei zake kwa hapa Dar! Nitafanya kwa kukatiza nyumba hadi nyumba kufuata wateja! Pia mwenye uzoefu na rangi bora za kawaida anitajie jina lake!
View attachment 2221837
Pia kwa mwenye kufahamu mitaa ipi ina wateja wengi anisaidie!
Bila kusahau changamoto pia!
View attachment 2221839
Kwa wateja wa huduma hizi anambie gharama mnazotozwa kubandikwa kucha bandia na kupakwa rangi za kawaida
Matumaini yangu nitafanikiwa!