kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Nilienda bank ya nmb kwa lengo la kupata huduma flani ya kifedha. Kwenye ATM pale nikaona msururu wa watu wamejipanga kutaka kutoa pesa.nikadodosa nikaambiwa wengi wao ni walimu mishahara imetoka, nikafanya utafiti wa tofauti ya kutoa pesa kwenye ATM na kwa wakala ni how much nikaona tofauti ni kama mia tano tu.
Nikajisemea hawa walimu ni kwamba hawana kazi za kufanya au hawana akili,yani sh mia tano ndio ikupangishe kwenye mstari karibu masaa mawili?
Nyie walimu acheni kujidhalilisha bana.
Nikajisemea hawa walimu ni kwamba hawana kazi za kufanya au hawana akili,yani sh mia tano ndio ikupangishe kwenye mstari karibu masaa mawili?
Nyie walimu acheni kujidhalilisha bana.