Huwajui walimu wewe....wanakiherehere hao watu sijui wanajifichaga nyuma ya benki wakihisi mshahara unakaribia yaaan wanajazana benki mpaka unahisi mshahara usingetoka hiyo siku wangekufa njaaa na wanarundika a haooo.....nyie walim kuepuka fedheha ndogondogo tafuteni vitu vingine vya kuwasaidia maishaNilienda bank ya nmb kwa lengo la kupata huduma flani ya kifedha. Kwenye ATM pale nikaona msururu wa watu wamejipanga kutaka kutoa pesa.nikadodosa nikaambiwa wengi wao ni walimu mishahara imetoka, nikafanya utafiti wa tofauti ya kutoa pesa kwenye ATM na kwa wakala ni how much nikaona tofauti ni kama mia tano tu.
Nikajisemea hawa walimu ni kwamba hawana kazi za kufanya au hawana akili,yani sh mia tano ndio ikupangishe kwenye mstari karibu masaa mawili?
Nyie walimu acheni kujidhalilisha bana.
Nilienda bank ya nmb kwa lengo la kupata huduma flani ya kifedha. Kwenye ATM pale nikaona msururu wa watu wamejipanga kutaka kutoa pesa.nikadodosa nikaambiwa wengi wao ni walimu mishahara imetoka, nikafanya utafiti wa tofauti ya kutoa pesa kwenye ATM na kwa wakala ni how much nikaona tofauti ni kama mia tano tu.
Nikajisemea hawa walimu ni kwamba hawana kazi za kufanya au hawana akili,yani sh mia tano ndio ikupangishe kwenye mstari karibu masaa mawili?
Nyie walimu acheni kujidhalilisha bana.