Walimu-ajira 2013/2014

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
300
Nimesubiria saana! nkajua labda januar nayo ndohyo inakata, walsema wanasubir kibal kutoka u2mish kuanzia FEBRUARY 1 - MARCH 30, km cyo kurpot mwez wa 4 hapa cjuii!.... mfano zkatoka march 15 we unafikiri kuripot lin!... ama kwel SERIKALI imetingwaa!.......!
 
"walisema" wametuambia" n.k hizi kauli hizi....!
 
Watabanaaaa....wataachia,la muhimu tuwe wavumilivu tu,na waswahili husema'mzigo huwa ni mzito unapokaribia mwisho wa safari' na 'mateso yakizidi wokovu unakaribia'.
 
Watabanaaaa....wataachia,la muhimu tuwe wavumilivu tu,na waswahili husema'mzigo huwa ni mzito unapokaribia mwisho wa safari' na 'mateso yakizidi wokovu unakaribia'.

True Baba lai# kwel 2cwe na papala kwene msafara! 2tafika sema mtaan nako du!
 

Hizo ajira zikitoka halafu jina lako halipo nahisi utapoteza fahamu'
 
Km huna chakuongea bora ukae kimyaa! cyokuongea 2 ili uonekane
 
Hyo uhakika ndg yang allan sema nachowaza saiv npo wap na lin
 
Ajira zinatoka kwa awamu' awamu ya kwanza February' awamu ya pili April' over

Hata Waajiri Kwa Mafungu Suala Msingi Ni Kuwa Ajira Ni Given Kama "Pie!" Na Awamu Ya Pili Huwa Kwa Ajili Ya Kuziba Nafas Za Wale Ambao Hawakwenda kuripoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…