A
Sasa unatupa taarifa ama unatafuta msaada??Tunaomba muongee na viongozi wa halmashauri ya Chato, ajira mpya walimu toka tumeripoti kazini hatuelewi nini kinaendelea, tunaishi maisha ya shida hawajatupa hela za kujikimu in short tupo tupo tu, tafadhali tunaomba muwasiliane nao.
Tunaomba muongee na viongozi wa halmashauri ya Chato, ajira mpya walimu toka tumeripoti kazini hatuelewi nini kinaendelea, tunaishi maisha ya shida hawajatupa hela za kujikimu in short tupo tupo tu, tafadhali tunaomba muwasiliane nao.
Acha ujinga umepigika sana duniani Leo umepata ajira siku mbili malalamiko!Tunaomba muongee na viongozi wa halmashauri ya Chato, ajira mpya walimu toka tumeripoti kazini hatuelewi nini kinaendelea, tunaishi maisha ya shida hawajatupa hela za kujikimu in short tupo tupo tu, tafadhali tunaomba muwasiliane nao.